Friday, May 18, 2012

Uzinduzi wa safari za Boeing 737-500 kutoka Dar kwenda Mwanza na Kilimanjaro.

Abiria wakiwa tayari kwa safari...
 
Marubani wetu tayari kwa safari...
Wahudumu wetu, juu na chini.
ATCL Chief Pilot akiwa tayari kwa kazi.
ATCL Acting CEO Mr. Paul Chizi akikata utepe kuzindua safari hizo.

Ndugu Paul Chizi akikata keki kuashiria uzinduzi wa safari hizo.
viburudisho vyetu...
Ndugu Paul Chizi akisalimiana na wadau wa usafiri wa anga.
Nd. Paul Chizi (kati) akifurahia jambo Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka za Anga Tanzania (TCAA) Nd. Fadhili Manoni (kushoto) na mdau mwingine wa usafiri wa anga nchini.
Juu na Chini wasafiri wa ndege aina ya Boeing 737-500 wakiwa safarini.
Juu Mhudumu akiwa kazini, Chini wakifurahia uzinduzi wa safari hizo.
Salute kutoka Jeshi la Zimamoto.